$ 0 0 Bi harusi mtarajiwa ambaye pia alikuwa miss Tanzania 2005 (Nancy Sumari) akiwa na marafiki zake wa karibu, bila kukosa mke wa Mengi K-Lyn Mengi, Faraja Kota Nyalandu, Nasreen Karim na Sophia Byanaku.